Shabiki mashuhuri duniani wa klabu ya soka ya Manchester atua Hifadhi ya Taifa ya Serengeti
JamhuriComments Off on Shabiki mashuhuri duniani wa klabu ya soka ya Manchester atua Hifadhi ya Taifa ya Serengeti
Shabiki mashuhuri duniani wa klabu ya soka ya Manchester City ya Uingereza Braydon Bent atua Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na kuanza ziara ya ‘ki-Royal Tour’ hifadhini humo leo tarehe 28. Januari, 2026.