Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika uwanja wa TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Oktoba, 2025.
















