Shamrashamra za uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu CCM
JamhuriComments Off on Shamrashamra za uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu CCM
Shamrashamra za Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2025.