Tag: ccm
CCM Wapiga Kura Kuchagua Viongozi Wapya Iringa
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa wamepiga kura kuchagua uongozi mpya leo Desemba 5, 2017. Mjumbe wa NEC Mh. January Makamba akizungumza na kutoa utaratibu wa wagombea na wapiga kura katika uchaguzi mkuu wa viongozi wa Chama…
Diallo: Serikali Hacheni Kuingilia Uchaguzi wa CCM
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo, ambaye mwishoni mwa wiki alipekuliwa na maofisa wa Takukuru, ameitaka Serikali kutoingilia masuala ya uchaguzi wa chama hicho, badala yake iangalie na kuwaongoza wanapokosea. Diallo alitoa kauli hiyo juzi usiku wakati akiwashukuru…
Mtulia Akabidhiwa Kadi Ya CCM
ALIYEKUWA Mbunge wa Kinondoni kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Maulid Mtulia amekabidhiwa rasmi kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mapema leo katika ofisi za chama hicho. YALIYOSEMWA NA ALIYEKUWA MBUNGE WA KINONDONI KUPITIA CUF MAULID MTULIA MARA BAADA…
Steve Nyerere Amtolea Povu Polepole, Wema Kurejea CCM
Muda mfupi baada ya Wema Sepetu kutangaza kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM), chama hicho kimesema hakina taarifa rasmi kuhusu Wema kutaka kurudi. Hayo yamesema na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram…
WEMA: Jamaani Kule Nimeshindwa Sasa Narudi Nyumbani
“Siwezi Kuendelea kuishi kwenye Nyumba inayo nikosesha amani… Peace of mind is everything for me… Natangaza Rasmi kuondoka Chadema na Kurudi Nyumbani.” Maneno hayo yameandikwa na muigizaji Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram akitangaza uamuzi wake wa kuhama Chama…