Mhubiri mmoja wa Kiinjilisti nchini Marekani amewaomba waumini wake kuchanga pesa za kumsaidia kununua ndege yake ya nne. Amesema hata kama Yesu angekuwepo siku hizi, "hangekuwa anapanda punda". Jesse Duplantis amesema Mungu amemwambia anunue ndege aina ya Falcoln 7X ambayo…
Soma zaidi...