
Naibu Meya wa CHADEMA Manispaa ya Iringa Ajiuzulu
Iringa. Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa, Dady Igogo ameandika barua ya kujiuzulu wadhifa wake wa Naibu meya . Kwamujibu wa barua yake ya Februari 13 aliyoiwasilisha kwa Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo, Alex Kimbe, Igogo amedai ameamua kujiuzulu wadhifa huo na kwamba atabakia na wadhifa wake wa udiwani. Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa…