Tangazo la NEC lahitimisha udiwani wa Manji

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa udiwani wa kata 21 ikiwamo ya Mbagala Kuu katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam, jambo linalohitimisha udiwani wa mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Athuman Kihamia, juzi alitangaza uchaguzi huo mdogo kupitia taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari. Katika taarifa…

Read More

Madiwani 30 wa CCM Wapita Bila Kupingwa

TUME ya taifa ya uchaguzi, NEC wamesema wagombea wa udiwani 3O kutoka CCM wamepita bila kupingwa baada ya wagombea wa upinzani kuenguliwa kwa sababu mbalimbali kwenye uchaguzi unatarajiwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu. Vyama vya upinzani, CHADEMA na ACT wiki ilyopita vililalamika wagombea wao kufanyiwa zengwe mablimbali ikiwa ni pamoja na kuvamiwa na watu wenye…

Read More

NEC itekeleze agizo la Waziri Mkuu

Mwishoni mwa wiki iliyopita, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutenda haki katika kutangaza washindi wakati wa uchaguzi.   Majaliwa ameyasema hayo Alhamisi iliyopita mjini Dodoma, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Devotha Minja, wakati wa kipindi cha ‘maswali kwa Waziri Mkuu.’ Minja akatoa mfano kuwa uchaguzi mdogo…

Read More

Majibizano Hayasaidii Ujenzi wa Demokrasia

Katika siku za karibuni kumekuwapo na malumbano kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Malumbano hayo yalitokana na kada wa Chadema, David Djumbe, aliyepitishwa na NEC kuwania kiti hicho, kuwasilisha barua ya kujitoa katika uchaguzi mdogo utakaofanyika Januari 13 mwakani pamoja na katika majimbo ya Longido na Songea…

Read More