Kortini kwa ‘kula’ fedha za Uchaguzi Mkuu
Maofisa wa halmashauri za wilaya nchini waliosimamia Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2015 wameanza kuchunguzwa kwa matumizi mabaya ya fedha. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema baadhi yao wamekwisha kufunguliwa mashitaka wakituhumiwa kuandaa nyaraka za uongo kuficha upotevu wa mamilioni ya shilingi. Miongoni mwao ni aliyekuwa Msimamizi Msaidizi wa…