Wadau wameisikia bajeti kuu ya Serikali. Imepokewa kwa mitazamo tofauti. Wapo waliopongeza, na wapo waliokosoa. Huo ni utaratibu wa kawaida kwani hakuna jambo linaloweza kupendwa au kuchukiwa na wote. Pamoja na kutoa unafuu kwa maeneo mbalimbali, bado tunaamini Serikali inapaswa…
Soma zaidi...