
Simba Sc Kucheza Kagame Bila Mastaa wake
SIMBA imamua kuwapumzisha wachezaji wake mastaa wa kikosi cha kwanza katika michuano ya Kombe la Kagame iliyopangwa kufanyika jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa mastaa ambao wameachwa katika mashindano hayo ni Mnyarwanda Haruna Niyonzima na Jonas Mkude. Michuano hiyo imepangwa kuanza kutimua vumbi Juni 29, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa na Azam Complex jijini…