Mshambuliaji wa Real Madrid, Mreno Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya Ballon d'Or kwa mwaka wa pili mfululizo usiku wa kuamkia leo. Ronaldo amemshinda mpinzani wake wa karibu Lionel Messi, katika tuzo hiyo na kuweza kuitwaa kwa mara ya tano na…
Soma zaidi...