Tazama Rais Samia akiimba na wana kwaya kwenye harambee
JamhuriComments Off on Tazama Rais Samia akiimba na wana kwaya kwenye harambee
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Kwaya Kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kimara wakati ikiimba kwenye Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Juni, 2025.