Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026 unafanyika Mkoa wa Kusini Pemba, ukiwa ni mwanzo wa safari ya kuhamasisha maendeleo, uzalendo na mshikamano wa kitaifa.

Uzinduzi huo utafanyika uwanja wa Gombani, Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba kuanzia saa 12:00 asubuhi, litakalngozwa na mgeni rasmi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Tanzania ni yetu sote, tushikamane kwa pamoja kuleta maendeleo. 🇹🇿