Viongozi mbalimbali wa dini na serikali wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kanisa Arise and Shine ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kawe Jijini Dar es Salaam.