Viongozi na wageni wakiwa hafla ya uchangiaji ujenzi wa Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo
JamhuriComments Off on Viongozi na wageni wakiwa hafla ya uchangiaji ujenzi wa Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo
Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa hafla ya uchangiaji ujenzi wa Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Juni, 2025.