Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi ya Wilaya ya Kongwa na wa nje ya Wilaya ya Kongwa wameshiriki ibada ya kuombea na kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Hayati Job Ndugai katika Kanisa la Anglikana- Mtakatifu Machael, Dinari ya Kongwa Wilayani Kongwa leo tarehe 11 Agosti, 2025.
Ibada hii inaongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dkt. Maimbo Mndolwa.











