








Mwenyekiti wa Taifa wa ACT-Wazalendo, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, akiwa pamoja na viongozi wenzake wa Kitaifa wa chama hicho wakitokea Jijini Dar es Salaam, na kupokelewa na maelfu ya wanachama Unguja.
Mapokezi hayo ambayo yamewajumuisha Wagombea wa Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Urais wa Zanzibar, ikiwa ni utambulisho wa wagombea wa nafasi za urais.