Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), amewasili katika Hifadhi ya Taifa Serengeti, kukagua na kujionea athari na uharibifu wa miundombinu zilizosababshwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchin ili kuzipata ufumbuzi wa kudumu.
Dkt. Kijaji ameambatana na baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Wizara hiyo, wataalam na Maafisa mbalimbali.










