JamhuriComments Off on Waziri Kijaji azindua Bodi ya Wakurugenzi NCAA
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe..Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amefanya uzinduzi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) inayoongozwa na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Salvatory Mabeyo, uzinduzi huo umefanyika leo tarehe 29 Januari, 2026 Jijinj Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali.