JamhuriComments Off on Waziri Mkuu ahani msiba wa Mzee Mongela
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Juni 3 amehani msiba wa Mzee Silvin Ibengwe Mongella ambaye ni mume wa Mama Getrude Mongella, nyumbani kwa marehemu Makongo Juu jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)