Waziri Mkuu ahudhuria mashindano ya kuhifadhi Qur’an – Kondoa
JamhuriComments Off on Waziri Mkuu ahudhuria mashindano ya kuhifadhi Qur’an – Kondoa
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mbunge wa Kondoa ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji wakati wa mashindano ya kuhifadhi qur’an Tukufu yaliyofanyika katika Kijiji cha Bukulu, Kondoa mkoani Dodoma, Machi 7, 2026 (PICHA NA OFISI YAWaziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi mara baada ya kuhudhuria mashindano ya kuhifadhi qur’an Tukufu yaliyofanyika katika Kijiji cha Bukulu, Kondoa mkoani Dodoma, Machi 7, 2026 (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)WAZIRI MKUU)Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akiitika Dua wakati wa mashindano ya kuhifadhi qur’an Tukufu yaliyofanyika katika Kijiji cha Bukulu, Kondoa mkoani Dodoma,Machi 7, 2026 (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akionesha tuzo aliyokabidhiwa kwa kutambua mchango wake mkubwa katika kukuza vipaji na kuendeleza Mashindano ya kuhifadhi Qur’an Tukufu wilayani Kondoa. Tuzo hiyo imetolewa na Ofisi ya Mbunge wakati wa mashindano ya kuhifadhi Qur’an Tukufu yaliyofanyika katika kijiji cha Bukulu, Wilayani Kondoa mkoani Dodoma Machi 7, 2026 (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)