Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo tarehe 24 Februari, 2026 akizindua ujenzi wa soko la Kilombero linalotekelezwa na Halmashauri ya jiji la Arusha ili kuboresha huduma za biashar na miundombinu ya soko hilo. Soko hilo linatarajiwa kutumia Shilingi Bilioni 9.5 hadi kukamilika kwake. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo tarehe 24 Februari, 2026 akizungumza na Washirki wa Semina ya Bodi za Wakurugenzi wa Mamlaka za Maji nchini unaofanyika katika hoteli ya Ngurdoto, jijini Arusha. Mkutano huo wa kitaifa unawakutanisha viongozi wakuu wa usimamizi wa Mamlaka 85 za maji nchini. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Muonekano wa ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo mikoani unaotekelezwa katika eneo la Bondeni City kwenye Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa gharama ya sh. bilioni 14.3 ambao leo tarehe 24 Februari, 2026 Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi huo.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo tarehe 24 Februari, 2026 akifungua Semina ya Bodi za Wakurugenzi wa Mamlaka za Maji nchini unaofanyika katika hoteli ya Ngurdoto, jijini Arusha. Mkutano huo wa kitaifa unawakutanisha viongozi wakuu wa usimamizi wa Mamlaka 85 za maji nchini.