JamhuriComments Off on Waziri Mkuu akutana na Dk Kashililla
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA,) Dkt. Thomas Kashililla, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Septemba 8, 2025. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Dkt. Thomas Kashililla, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Septemba 8, 2025.