Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Ardhi,  Miundombinu, Usafirishaji na Utalii wa Japan,  Mheshimiwa Hiromasa Nakano  kwenye Makao Mkuu ya Wizara hiyo   Tokyo Japan, Mei 27, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Waziri wa Ardhi,  Miundombinu, Usafirishaji, na Utalii wa Japan,  Mheshimiwa Hiromasa Nakano  kwenye Makao Mkuu ya Wizara hiyo   Tokyo Japan, Mei 27, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao  na  Naibu Waziri wa Miundombinu, Usafirishaji na Utalii   wa  Japan, Kenichi Ogasakawara pamoja na Rais wa Shirikisho la Wawekezaji katika Sekta ya Miundombinu Japan (JAIDA) kwenye makao makuu  ya Wizara hiyo, Tokyo Japan, Mei 27, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara ya Miundombinu, Usafirishaji na Utalii   ya  Japan pamoja na Rais wa Shirikisho la Wawekezaji katika Sekta ya Miundombinu la Japan (JAIDA)  baada ya mazungumzo kwenye makao makuu  ya Wizara hiyo, Tokyo Japan, Mei 27, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)