Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza Kikao cha 13 cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka. 2022 kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Juni 25, 2025. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi na kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hamza Hassan Juma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Makatibu Wakuu kwenye viwanja vya Ofisi ya Hazina baada ya kuongoza Kikao cha 13 cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka. 2022 kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Juni 25, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza Kikao cha 13 cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Juni 25, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)