PMO 7300 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania katika Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) alipotembelea ubalozi huo uliopo Abudhabi, Julai 25, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania katika Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) , Luteni Jenerali Mstaafu, Yacub Mohammed alipotembelea Ubalozi huo uliopo Abudhabi Julai 25, 2025. (Plcha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza taarifa ya Balozi wa Tanzania katika Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE), Luteni Jenerali Mstaafu, Yacub Mohammed alipotembelea Ubalozi huo ulipo Abudhabi, Julai 25, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania katika Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) , Luteni Jenerali Mstaafu Yacub Mohamed alipotembelea Ubalozi huo uliopo Abudhabi Julai 25, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu