Waziri Mkuu azungumza na wajasiriamali wadogo ufukwe wa Coco Beach
JamhuriComments Off on Waziri Mkuu azungumza na wajasiriamali wadogo ufukwe wa Coco Beach
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wajasiriamali wadogo wanaofanya shughuli zao katika eneo la fukwe ya Coco “Coco Beach” jijini Dar es Salaam Machi 29, 2026 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)