Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza alipofungua kongamano la mwaka la Wamachinga na Madereva wa Pikipiki na Bajaji za kubeba abiria lililofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa  cha Julius Nyerere jijini Dar eś salaam, Januari 8, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salam kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la  Mwaka la Wamachinga na Madereva wa Pikipiki na Bajaji za Kubeba Abiria, Januari 8, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Washiriki wa kongamano la mwaka la Wamachinga na Madereva wa Pikipilki na Bajaji  za kubeba abiria wakimsikiliza  Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba alipozungumza katika Kongamano hilo  kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Januari 8, 2026. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika  kongamano la mwaka la Wamachinga na Madereva wa Pikipiki na Bajaji za Kubeba Abiria lililofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa  cha Julius Nyerere jijini Dar eś salaam, Januari 8, 2026.  Kulia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wamachinga Tanzania, Ernest Matondo Masanja. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemmba akizungumza na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima  (kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka katika Kongamano la Mwaka la Wamachinga na Madereva wa Pikipiki na Bajaji za Kubeba Abiria lililohutubiwa na Waziri Mkuu kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa  cha Julius Nyerere jijini Dar eś salaam, Januari 8, 2026.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)