JamhuriComments Off on Waziri Simbachawane ateta na askofu Dk Bagonza
Waziri Simbachawene amepokelewa na Askofu Dkt.Benson Kalikawe Bagonza ambae ni Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania wilayani Karagwe ambapo jumla ya Mashemasi watano watapata uchungaji.