Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akimuombea kura mgombea wa jimbo la Kasulu mjini wa chama hicho, Martina Mturano wakati wa kampeni yake iliyofanyika katika eneo la stendi mpya, Kasulu mmjini, mkoani Kigoma, Oktoba 08, 2025.