Zitto Kabwe amwaga sera za ACT – Wazalendo Jimbo la Kigoma Mjini, aahidi kuleta mabadiliko
JamhuriComments Off on Zitto Kabwe amwaga sera za ACT – Wazalendo Jimbo la Kigoma Mjini, aahidi kuleta mabadiliko
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo na mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma mjini Ndugu Zitto Zuberi Kabwe akihutubia maelfu ya watu waliojitokeza katika uzinduzi rasmi wa kampeni zake katika jimbo hilo wakati akitangaza sera za chama chake kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 nchini kote