Latest Posts
TEITI yaimarisha elimu kwa umma, kuhusu manufaa ya rasilimali za madini na gesi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi ya Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) imesema imeendelea kuhimiza uwazi na uwajibikaji katika usimamizi wa rasilimali za nchi, ili kuhakikisha wananchi wananufaika na shughuli za uchimbaji…
Silinde akoshwa na hatua ya miradi mitatu ya umwagiliaji Mara, Shinyanga na Simiyu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu NAIBU Waziri wa Kilimo David Silinde (Mb), ameeleza kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa miradi mitatu mikubwa ya umwagiliaji ikiwemo ujenzi wa Bwawa la Nyida lililopo mkoani Shinyanga, Kasoli Bariadi mkoani Simiyu na Bugwema mkoani…
Makamu wa Rais afungua skuli ya sekondari ya Makunduchi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema maendeleo yanayoonekana hivi sasa katika sekta mbalimbali Zanzibar ikiwemo sekta ya elimu ndiyo lilikuwa lengo la Mapinduzi Matukufu ambayo yalidhamiria kuboresha Maisha ya watu. Makamu wa…
Waziri Mkuu akutana na Katibu Mkuu kiongozi Balozi Dk Kusiluka
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salam, Januari 9, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
CAG aipongeza TARURA kwa ujenzi wa miundombinu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ndg. Charles Kichere, leo Januari 9, 2026 ametembelea Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) na kufanya kikao na Menejimenti ya Wakala huyo katika ukumbi…





