Polisi wamkoga JPM

Ni ajabu na kweli, magari matano kati ya manane yaliyokuwa yanahusishwa na ‘papa wa unga’, yaliyokuwa yamehifadhiwa Kituo cha Polisi Oysterbay yameondolewa kituoni hapo kwa njia za utata. Magari hayo ya kifahari ni mali ya Lwitiko Samson Adam (Maarufu kama Tikotiko), ambaye alikamatwa mwishoni mwa mwaka 2017 kisha kuachiwa kabla ya kukamatwa tena. Magari hayo…

Read More

Mdhamini, Mwenyekiti CWT

Hali imezidi kuwa tete katika Chama cha Walimu Tanzania (CWT), baada ya baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa chama hicho kutiliwa shaka na baadhi ya wanachama, JAMHURI limebaini.  Gazeti hili la JAMHURI limejiridhisha kuhusu kuwapo kwa mpasuko miongoni mwa wajumbe wa Bodi ya Wadhamini, Katibu wa Bodi hiyo akipingana na wenzake kwa tuhuma…

Read More

‘Tunaimba ujamaa, tunataka matokeo ya kibepari’

Ufuatao ni mchango wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Peter Serukamba, alioutoa hivi karibuni bungeni wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Fedha. “Mheshimiwa mwenyekiti, mimi nashukuru umenipa nafasi nichangie mpango huu. Mheshimiwa mwenyekiti, nimekuja na mipango mitatu. Nimekuja na mpango wa 2016/17, 2017/18 na 2018/19. Mheshimiwa mwenyekiti, naanza na deni la taifa, kwenye mpango…

Read More

NINA NDOTO (21)

Tumia kipaji chako   Kipaji ni kitu chochote unachoweza kukifanya kwa urahisi bila kutumia nguvu nyingi. Kimsingi kipaji huwa hakichoshi. Kuna watu wana vipaji vya uandishi, uongozi, kuimba, kucheza muziki, kuchora, kuigiza, kushona, kupamba, kupika, orodha ni ndefu, kwa kutaja machache. Kwenye kipaji kama ni kufundisha hautatumia nguvu nyingi, kama ni kuandika hautatumia nguvu nyingi,…

Read More

Kero hizi zitatuliwe

Ijumaa iliyopita Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Dk. John Magufuli, alikutana na wafanyabiashara kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Ni wafanyabiashara kutoka mikoa yote nchini. Katika mkutano huo uliofanyika Ikulu ya Magogoni, jijini Dar es Salaam kwa saa zaidi ya nane, mengi yalijitokeza huku Rais Magufuli binafsi akionyesha utayari wa kiwango cha juu wa…

Read More

Watano wafukuzwa kazi Benki ya Ushirika

Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Ushirika mkoani Kilimanjaro (KCBL) imewafukuza kazi maofisa wake watano akiwamo Meneja Mkuu wa benki hiyo, Joseph Kingazi, kwa tuhuma za kuhusika katika ufisadi wa mabilioni ya fedha. Maofisa wengine wa benki hiyo waliofukuzwa kazi kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na  uongozi wa bodi hiyo ni aliyekuwa Meneja…

Read More