Profesa Tibaijuka atema mil. 1,600/- za Rugemalira

Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka (69), yuko tayari kurejesha Sh bilioni 1.6 alizopewa na James Rugemalira ili zimsaidie mfanyabiashara huyo atoke rumande. Profesa Tibaijuka alikuwa miongoni mwa wanufaika wa mabilioni ya shilingi ‘yaliyomwagwa’ na Rugemalira aliyezipata kutoka kwenye akaunti ya Escrow ya Tegeta mwishoni mwa utawala wa Awamu ya Nne. Kitendo cha Profesa…

Read More

DED amaliza mgogoro wa ardhi Pugu

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Jumanne Shauri, ametoa uamuzi juu ya mgogoro wa ardhi unaoendelea katika eneo la Pugu Bombani, Dar es Salaam na kuwapa ushindi wafanyabiashara ndogo ndogo. Mkurugenzi Shauri ameliambia JAMHURI kuwa mgogoro huo tayari wameumaliza na eneo hilo limerudi kwa wafanyabiashara hao, hivyo taratibu za kuwapatia mikataba rasmi waendelee na biashara bila…

Read More

Kesi ya Luwongo wiki ijayo

Kesi inayomkabili mfanyabiashara, Khamis Said, maarufu Meshack (38), anayetuhumiwa kumuua mkewe, Naomi Marijani, imepigwa tarehe hadi Oktoba 7, mwaka huu kutokana na kutokamilika kwa upelelezi.  Wakili Mwandamizi wa Serikali, Wankyo Simon, amemweleza Hakimu Mkazi, Salum Ally, mbele ya mahakama kuwa upelelezi wa kesi hiyo upo hatua za mwisho kukamilika.  Wakili Wakyo ameomba shauri hilo liahirishwe…

Read More

Serikali yaongeza vifaa tiba MOI

Hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha magonjwa ya mifupa (MOI) kinatarajia kufungua maabara kubwa ya kisasa kwa ajili ya upasuaji wa mishipa ya ubongo. Kitaalamu maabara hiyo inafahamika kama ANGIO-SUITE, itakayogharimu Sh bilioni 7.9. Mkurugenzi wa hospitali hiyo, Dk. Respicious Boniface, amesema kuwa wanatarajia kufungua maabara hiyo kubwa na ya kisasa hapa nchini. Gharama za…

Read More

TARURA yavijunia barabara Dar

Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Dar es Salaam umeamua kuboresha viwango vya ubora wa barabara zake katika mitaa. Akizungumza na Gazeti la JAMHURI, Mratibu wa TARURA Mkoa wa Dar es Salaam, Mhandisi George Tarimo, amesema wameamua kutumia njia ya ubunifu zaidi wakati wa kujenga barabara hizo kuliko huko nyuma ili ziwe…

Read More

NINA‌ ‌NDOTO‌ ‌(37)‌

Wivu ni kidonda, ukishiriki utakonda   Wivu ni hali ya kutofurahia kwa kumuona mwenzio akiwa na mtu au kitu. Wivu ni hisia yenye nguvu inayoweza kumfanya mtu ahisi hangaiko, huzuni au awe na hasira. Waswahili wamelipa neno ‘wivu’ majina mengine kama: kijicho, gere, husuda, uhasidi, na kadhalika. Wivu siku zote huwezi kuona chema cha mtu,…

Read More