Author: Jamhuri
Waziri Nanauka ataka vijana wasikilizwe
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Mhe. Joel Nanauka leo Novemba 25, 2025 amewasili mkoani Songwe kwa lengo la ziara ya kukutana na kuzungumza na vijana kuhusu masuala mbalimbali ya ustawi wa kundi hilo ikiwemo shughuli…
Afrika yatoa msimamo wa COP 30
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewasilisha taarifa kwa niaba ya nchi 54 za Kundi la Afrika katika siku ya mwisho ya Mkutano wa 30 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP30) jijini Belem, Brazil. Taarifa hiyo Afrika imesisitiza…
Hakutokuwa na maadhimisho ya sherehe za Uhuru Desemba 9
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza kwamba hakutokuwa na maadhimisho ya sherehe za Uhuru Desemba 09, 2025 na badala yake fedha ambazo zilipaswa kutumika katika sherehe hizo zitapelekwa kutumika kurekebisha miundombinu iliyoharibika…
Waziri wa Viwanda ateta na wenye viwanda
Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga ameahidi kuendeleza ushirikiano baina ya serikali na wenye viwanda kuhakikisha anatimiza ndoto za Rais Samia Suluhu Hassan za kuongeza idadi ya viwanda nchini. Aliyasema hayo jana wakati akizungumza na wanachama…





