Jamhuri

Jamii yashauriwa kuchangia damu kwa hiari

Na Mussa Augustine., JamhuriMedia Jamii imeshauriwa kujenga utamaduni wa kuchangia damu kwa hiari ili kusaidia watu wenye uhitaji wakiwemo akina mama wajawazito, wagonjwa wa saratani pamoja na wagonjwa mbalimbali waliolazwa hospitali. Rai hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam April 30,2023 na Dkt Samwel Mduma kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama katika zoezi la uchangiaji…

Read More

MSD Kanda ya Kati yateta na wadau wake

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Kati Dodoma imekutana na wadau na wateja wake wakiwemo waganga wakuu, wafamasia na watendaji wa halamshauri kuhakikisha wanajadili uboreshaji wa huduma za afya na upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwa uhakika kupunguza kero kwa wananchi. Katika mkutano huo wadau hao wamekubaliana kuunga mkono jitihada…

Read More

Koka:Asilimia 80 ya rasilimali fedha kutatua changamoto za elimu Kibaha

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Kibaha Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini,Silvestry Koka amejielekeza kupeleka nguvu ya raslimali fedha katika sekta ya elimu kwenye kata zote kwa asilimia 80 . Amesema ,anatambua sekta ya elimu Kuwa ni mkombozi na urithi namba moja katika Taifa lolote hivyo ataendelea kushirikiana na wazazi,walimu na jamii kutatua changamoto za kielimu. Akizindua…

Read More