Author: Jamhuri
Rais Samia : Matumizi ya kuni na mkaa ni zaidi ya asilimia 90
Waafrika wanategemea sana matumizi ya kuni hivyo hatuwezi kupuuza madhara pamoja na gharama kubwa ya kuni na mkaa kwa ajili ya ustawi wa wanawake na wasichana. Hayo yamebainishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan huku…
Ukosefu wa umeme wa kutosha hupunguza Pato la Taifa -AFDB
Na Pendo Nguka, JamhuriMedia, Dar es Salam Ukosekanaji wa umeme wa kutosha hupunguza pato la Taifa (GDP) kwa asilimia 2 hadi 4 kwa kila mwaka.Upatikanaji wa umeme ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi wa Afrika. Hayo yameelezwa na Rais wa…
AfDB yamsifu Samia nishati safi, umeme
BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia Afrika. Pia, AfDB imesifu juhudi za Serikali ya Tanzania kusambaza umeme katika vijiji vyote nchini. Rais wa AfDB, Akinwumi Adesina alitoa…
Hali mjini Goma bado ni tete: UN
Waasi wa M23 wamesema wameukamata mji wa Goma mashariki mwa Kongo. Hakujawa na uthibitisho kutoka kwa jeshi la Kongo au serikali mjini Kinshasa kwamba mji huo mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini umekamatwa na waasi. Muungano wa waasi unaoongozwa na…
Mapigano yaanza tena mjini Goma, Mashariki mwa DRC
Goma, mji mkuu wa Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, umekuwa ukikumbwa na hali ya taharuki na wasiwasi mkubwa baada ya kundi la waasi la M23, linaloripotiwa kupata msaada wa kijeshi kutoka Rwanda, kuingia katika mji huo….
Congo kuimarisha usalama Goma
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo inasema inajitahidi kuepusha mauaji mjini Goma, lakini haitaachia eneo lolote baada ya waasi wa M23 kudai kwamba wameuteka mji huo. Katika taarifa kwenye mtandao wa X, Waziri wa Mawasiliano Patrick Muyaya aliwataka watu…