Author Archives: Jamhuri - Page 521

Kumekucha urais

MembeWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe; imedaiwa kuwa anaendesha kampeni kali ‘kimyakimya’ kuhakikisha anateuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania kiti cha urais mwaka huu. Habari za kiuchunguzi zisizotiliwa shaka ilizozipata Gazeti la JAMHURI, zinaonesha…
Soma zaidi...

Maji bado ni tatizo sugu

*Wananchi wanakunywa maji na ng’ombe visimani Na Clement Magembe, Handeni   Wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, wamesema tatizo la maji limezidi kuwa sugu huku baadhi ya maeneo yakipata maji iwapo viongozi wa kitaifa wanapofanya ziara zao wilayani humo,…
Soma zaidi...
Show Buttons
Hide Buttons