JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Sitanii

Balozi Nchimbi hajauma maneno, aungwe mkono

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Nairobi Nimeandika makala hii nikiwa hapa Nairobi, Kenya muda mfupi tu baada ya kusikia kauli ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi, Dk. Emmanuel Nchimbi, kuhusiana na umuhimu wa kupata Katiba Mpya…

Tusiwape watoto urithi wa hasira

Na Deodatus Balile, Jamhurimedia, Nairobi Nimekuja hapa Nairobi kufanya mafunzo yanayohusiana kwa kiasi kikubwa na maendeleo ya jamii. Tunafundishana haki za wanawake, watoto na uthamini wa jinsia. Katika jamii tunayoishi kuna urithi wa nyumba, mashamba na fedha. Lakini kuna urithi…

Waliyofanya CCM, ACT Z’bar, CHADEMA yanawahusu

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Zanzibar Naandika makala hii muda mfupi baada ya kutoka kwenye viwanja vya Ikulu, Zanzibar, ambako yamefanyika maridhiano kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo. Maridhiano haya yamefungua ukurasa mpya kiasi kwamba Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Othman…

Tusimhukumu Rais Samia kwa makosa ya kihistoria

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Nafahamu kwa sasa nchi yetu ina joto la kisiasa. Joto linapanda kutoka kila kona. Linapanda kutoka vyama vya upinzani, linapanda kutoka ndani ya chama tawala kuelekea mwaka 2030, maana huo ndio ukweli, na…

Maridhiano yaanze, tusisubiri milango ya mahakama

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika siasa kuna wakati taifa linapaswa kujua tofauti kati ya kutafuta haki na kutafuta suluhu. Wakati mwingine njia ya mahakama ni muhimu pale panapokuwa na tuhuma za uhalifu, lakini pia kuna nyakati ambapo…

Ziara ya Samia Urusi yafufua sera ya kutofungamana

Na Deodatus Balile, Moscow, Russia Wiki iliyopita, Rais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kiserikali katika Shirikisho la Urusi kuanzia Juni 3 hadi 5, 2026. Ziara hiyo imekuja miaka 57 baada ya ziara rasmi ya mwisho ya viongozi wakuu wa…