Gazeti Letu
Serikali yaunga mkono wasambazaji nishati safi ya kupikia
Na Zuena Msuya, Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amesema kuwa, Serikali inaendelea kuunga mkono juhudi za Sekta Binafsi katika kuhakikisha watanzania wote wanatumia nishati safi ya kupikia ili kutimiza azma ya Serikali ya kuhakikisha asilimia 80 ya watanzania wawe wanatumia nishati safi ya kupikia hadi kufikia mwaka 2034….