Sekta ya Madini yachagiza ushiriki wa wanawake katika uvunaji rasilimali madini
đź“ŚWaziri Mavunde asisitiza wanawake washiriki zaidi katika uchumi wa madini đź“ŚSTAMICO yapongezwa uwezeshwaji wanawake đź“ŚMhandisi Mbenyange wa STAMICO apokea tuzo Mwanamke wa pekee Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Imeelezwa kuwa, Wizara ya Madini imevutia ushiriki wa wanawake katika uvunaji wa rasilimali hiyo muhimu katika uchumi wa Madini nchini. Hayo yamebainishwa Machi 1, 2023…