Category: MCHANGANYIKO
Msigwa : Mkataba wa TAZARA na China utakuwa na manufaa makubwa kwa Tanzania
Katibu Mkuu na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa amewahakikishia Watanzania kuwa mkataba ambao Tanzania na Zambia zimeingia na China wa uboreshaji wa reli ya TAZARA utakuwa na manufaa makubwa kwa Tanzania kiuchumi na kijamii. Msigwa aliyekuwa akitoa ufafanuzi…
Dc Mpogolo atoa agizo kukamatwa waliofanya mauaji Buyuni
Na Heri Shaaban, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKUU wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo ,ametoa agizo kwa Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, ACP Yustino Mgonja kutumia utaalamu na timu yake kuwakamata mara moja kundi…
TMA : Mvua kubwa yaathiri miundombinu ya SGR, kuendelea kunyesha kwa mikoa 20
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inapenda kutoa taarifa ya mwenendo wa Mvua Kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Mnamo tarehe 26 hadi 27 Desemba, 2025 Mamlaka iliendelea kutoa Tahadhari ya vipindi vya Mvua Kubwa katika maeneo…
Simbachawene : Mabadiliko makubwa kuligusa Jeshi la Polisi
*Taratibu za ukamataji mtuhumiwa kurekebishwa Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa Jeshi la Polisi…




