Category: MCHANGANYIKO
RC Kilimanjaro aongoza mamia ya watu kuaga miili 36 waliopoteza maisha kwenye ajali Same
Na Ashrack Miraji,JamuhuriMedia, Same Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Nurdin Babu, ameongoza mamia ya waombolezaji kuaga miili ya marehemu 36 kati ya 42 waliopoteza maisha kwenye ajali mbaya ya magari iliyotokea Juni 28, 2025 katika eneo la Sabasaba, wilayani…
SADC yaitaja Tanzania kinara utekelezaji ajenda ya nishati safi ya kupikia
๐ Rais Samia aendelea kupongezwa kwa kuwa kinara wa Nishati safi ya Kupikia Afrika ๐ Mhe. Kapinga ataka mikakati, ubunifu utekelezaji nishati safi ya Kupikia Jumuiya ya SADC ๐ Asisitiza uelimishaji matumizi ya nishati safi ya kupikia kupewa nguvu ๐…
REA yaja na mpango kabambe wa kuwezesha ujenzi wa vituo vya mafuta vijijini
๐Mkopo wa hadi Shilingi Milioni 133 kwa riba ya asilimka 5-7 kutolewa ๐Marejesho ni ndani ya miaka 7 ๐Lengo ni kuhakikisha bidhaa za mafuta zinapatikana kwa gharama nafuu ๐Wananchi watakiwa kuchangamkia fursa Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza…
Rais Samia anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini – Dk Biteko
๐ Asisitiza milango ya Rais Samia ipo wazi kwa ajili ya mazungumzo kwa mustakabali wa Taifa ๐ Asema Serikali inatambua na kuthamini kazi kubwa inayofanywa na Taasisi za dini ๐ Serikali kuendelea kushirikiana na Taasisi za dini kuchochea maendeleo ๐…
Uwekezaji unavyoibadilisha Katavi, kutoka rasilimali hadi huduma kwa wananchi
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia Dodoma Biashara ya kaboni (hewa ukaa) imekuwa chanzo kipya chenye tija kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika Mkoa wa Katavi, hususan Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika, kwa kufungua fursa mpya na kuchochea ustawi wa wananchi…
Israel, Hamas watofautiana usitishaji wa vita Gaza
Israel na kundi la Hamas linalotawala Ukanda wa Gaza zimechukua msimamo tofauti leo kuhusiana na pendekezo la Rais Donald Trump wa Marekani la usitishaji mapigano kwa muda wa siku 60. Saa kadhaa baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza…