Category: MCHANGANYIKO
Dk Biteko azindua mradi utakaowakwamua vijana kiuchumi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo amezindua Mpango wa Uwezeshaji wa Kiuchumi kwa Vijana (YEE) ambao unagusa maeneo yanayopitiwa na mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ikiwa ni jitihada zinazoendelea…
Waziri Mwita awataka wananchi kuunga mkono miradi ya Serikali
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita amewataka Wananchi kuunga Mkono miradi inayoanzishwa na Serikali ili iweze kukamilika kwa muda uliopangwa. Ameyasema hayo kwa nyakati tofauti wakati alipofanya ziara ya kukaguwa maeneo yanayotarajiwa kujengwa Viwanja vya…
Fanyeni kampeni za kistarabu kunadi sera epukeni matusi
Na Magrethy Katengu,Jamhuri MediaDar es Salaam Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuhakikisha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 zinafanyika kwa kistaarabu, bila kutumia lugha za matusi, kashfa au vitendo vyovyote…
Umoja na mshikamano vyatawala hotuba za viongozi mkutano wa SADC
Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimishwa jijini Antananarivo Agosti 17, 2025, huku viongozi hao wakihimizana, umoja, mshikamano na ushirikiano kama njia ya msingi ya kujikwamua kiuchumi na kukabiliana na changamoto zinazoibuka kila…





