Category: MCHANGANYIKO
Awashauri watumishi kufanyakazi kwa ufanisi na kuwa wabunifu
Na OWM KVAU Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Bi. Mary Maganga amewataka Watumishi wa Ofisi hiyo kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi ili kuongeza tija katika utoaji huduma kwa wananchi. Bi. Mary amebainisha hayo…
Waziri Kombo awasili Zimbabwe kushiriki mkutano wa 22 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje Afrika na NORDIC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amewasili jijini Victoria Falls, Zimbabwe, kushiriki Mkutano wa 22 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika na Nordic, unaofanyika kuanzia tarehe 2 hadi 3…
Jamii yatakiwa kupaza sauti kukomesha ukatili wa kijinsia
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JAMII imetakiwa kuendelea kupaza sauti kwa pamoja ili kutokomeza ukatili wa kijinsia unaoendelea kushamiri katika maeneo mbalimbali nchini, hususan miongoni mwa watoto, wanawake na makundi mengine yaliyo katika mazingira magumu. Wito huo umetolewa…
Dk Migiro amkaribidha Dk Samia kuzungumzanna wananchi Moshi
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asharose Migiro akimkaribisha Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 kuzungumza na maelfu ya wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro leo tarehe 1 Oktoba 2025.
Viwango vya udumavu na ukodevu vimepungua nchini – Majaliwa
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa kiwango cha udumavu miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano nchini kimeshuka kutoka asilimia 48 mwaka 1992 hadi asilimia 30 mwaka 2022. Ameongeza kuwa, kiwango cha ukondefu miongoni mwa watoto walio…