Category: MCHANGANYIKO
‘Kituo cha kupoza umeme Handeni kuleta mapinduzi ya uwekezaji’
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Salum Nyamwese, ameridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kituo cha kupooza umeme (substation) cha Handeni mkoani Tanga, unaolenga kuimarisha upatikanaji wa umeme wa uhakika kwa wakazi na wawekezaji wa wilaya hiyo….
Watumia jina la Mchengerwa kuomba michango ya harusi kitapeli
Wizara ya Afya imesikitishwa na kitendo cha baadhi ya watu wenye nia ovu ambao wamekuwa wakitumia jina la Waziri wa Afya, Mohamed Omary Mchengerwa kuwatapeli watu kwamba anaozesha mwanae, hivyo kuwaomba michango ya harusi ya mtoto wa Mhe. Mchengerwa. Tunapenda…
Mke wa mchungaji ajinyonga hadi kufa, chanzo chadaiwa kuwa ni madeni
Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Joyce Baton Mwasumbi mkazi wa Kijiji cha Kanazi wilayani Nkasi mkoani Rukwa amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia kanga chumbani kwake. Akizungumzia tukio hilo Mwenyekiti wa Kijiji Cha Kanazi Rudis Ulaya amesema kuwa tukio…
Katimba ataka watanzania wenye changamoto za mirathi kutumia huduma za RITA
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imezitaka jamii zenye watoto walio chini ya umri wa miaka 18 na makundi mengine maalum yanayokabiliwa na changamoto za usimamizi wa mirathi kutoa taarifa kwa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) ili kupata…
Serikali kujenga mtambo wa kuchenjua dhahabu Mwakitolyo Shinyanga
Na Mwandishi Wetu Kufuatia maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwasimamia wachimbaji wadogo, Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) ipo mbioni kuanza ujenzi wa mtambo wa kuchenjua madini ya…





