Siasa

Wanafunzi ‘Shule ya Waziri Jafo’ wasomea chini ya mti

DODOMA EDITHA MAJURA Shule ya Msingi Nzuguni ‘B’ ya mkoani Dodoma, inakabiliwa na uhaba wa vyumba vya madarasa hivyo kuwalazimu wanafunzi kusoma kwa zamu. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman Jafo, ndiye mlezi wa shule hiyo yenye wanafunzi 2,402, madarasa tisa na matundu manane ya vyoo. Uchunguzi wa JAMHURI, umebaini kuwa ili ...

Read More »

Hongera Rais John Magufuli

Wiki iliyopita, Rais John Magufuli alipokea ndege aina ya Bombardier Q400 yenye uwezo wa kubeba abiria 70, ikitokea nchini Canada. Katika hafla hiyo, Rais Magufuli akawataka Watanzania kujivunia ndege hiyo ya tatu ikiwa ni miongoni mwa ndege sita alizoahi kuzinunua. Pia Rais Magufuli alizindua ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 uliojengwa kuzunguka eneo lenye madini ya Tanzanite lililopo Mirerani mkoani ...

Read More »

Wakazi wa Bonde la Ziwa Rukwa wapata Shilingi Milioni 16.5 kukamilisha ujenzi wa kituo cha polisi

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amekabidhi shilingi milioni 5 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake aliyoitoa alipotembelea ujenzi wa kituo hicho cha polisi tarehe 13.11.2017 na wananchi kumuomba kuchangia ambapo ukamilifu wa kituo hicho utasaidia kuhudumia kata 13 zilizopo katika bonde la ziwa Rukwa. Sambamba na hilo Mh. Wangabo pia aliwasilisha ahadi ya Milioni 10 aliyoitoa Mkuu ...

Read More »

WAZIRI MKUU AWATAKA MABALOZI KUTANGAZA VIVUTIO VYA UWEKEZAJI VILIVYOPO NCHINI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nchini Urusi na Rwanda kutumia fursa hiyo kwa kutangaza vivutio vilivyopo nchini ili kuwavutia wawekezaji kuja kuwekeza kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya utalii. Pia amewataka Mabalozi kila mwisho wa mwaka wajifanyie tathmini ya mafanikio waliyoyapata kutokana na uwakilishi wao katika Mataifa ambayo  ni kwa kiasi gani wamechangia kwenye uboreshaji wa maendeleo ya ...

Read More »

Baada ya kupongezwa na Rais hadharani, Meya wa Atoa Neno

“Hii pongezi ya Rais ni kwa sababu alipokea taarifa ya utendaji ya jiji la Arusha na tangu alipoingia nilimweleza mambo ambayo tumefanya kwa mfano amepongeza jitihada kubwa ya ujenzi wa madarasa, tunapandisha vituo vya afya mara moja na dispensary kwa ujumla tano, hospitali ya wilaya, barabara za lami, barabara za vumbi na juzi tumetangaza tenda ya kilometa 10 za lami ...

Read More »

MAJALIWA AKUTANA NA MABLOZI

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nchini Urusi na Rwanda kutumia fursa hiyo kwa kutangaza vivutio vilivyopo nchini ili kuwavutia wawekezaji kuja kuwekeza kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya utalii. Pia amewataka Mabalozi kila mwisho wa mwaka wajifanyie tathmini ya mafanikio waliyoyapata kutokana na uwakilishi wao katika Mataifa ambayo  ni kwa kiasi gani wamechangia kwenye uboreshaji wa maendeleo ...

Read More »

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUMSIMIKA MHASHAMU ISAAC AMANI KUWA ASKOFU MKUU JIMBO KUU KATOLIKI LA ARUSHA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Askofu Msaidizi Prosper Lyimo  alipowasili kushiriki Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ...

Read More »

FEDHA ZA UPANUZI WA VITUO VYA AFYA ZIFANYE ZAIDI YA KAZI ILIYOTARAJIWA- RC GALLAWA

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Gallawa akizungumza na mafundi wanaojenga katika kituo cha Afya Isansa Wilaya ya Mbozi, kituo hicho cha Afya kimepokea shilingi milioni 500 kwa ajili ya upanuzi wa kituo hicho. Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Gallawa akizungumza na baadhi ya watendaji na wananchi wa kijiji cha Iyula waliojitokeza katika eneo la ujenzi katika kituo cha ...

Read More »

WATUMISHI WA SEKTA YA UJENZI WATAKIWA KUJITATHIMINI

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akizungumza na wajumbe wa baraza la wafanyakazi wa Sekta ya Ujenzi (hawapo pichani), wakati wa ufunguzi wa baraza hilo lililofanyika mkoani Morogoro. Mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Joseph Nyamhanga (katikati), akizungumza na wajumbe wa baraza hilo ...

Read More »

BREAKING NEWS: Nondo Anazungumza Muda Huu na Waandishi

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP) ambaye pia ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Abdul Nondo, amezungumza kwa mara ya kwanza na waandishi wa habari baada ya kuachiwa huru katika mahakama ya Iringa hapo jana. Katika Mazungumzo yake Nondo, amewashukuru watanzania kwa kupaza sauti zao, jeshi la magereza mkoani Iringa, Mawakili wake, pamoja na mtandao wa ...

Read More »

PROF KABUDI ATAJA HATUA INAZOCHUKUA SERIKALI KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA

 Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi akizungumza na wadau wa utafiti wakati akifungua Warsha ya siku mbili kwa watafiti wa Tanzania na kutoka nje iliyoandaliwa na Tasisi ya Utafiti ya REPOA leo jijini Dar es Salaam.  Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi  Amina Salim Alli akizungumza wakati anaongoza mjadala juu ya Uchumi ...

Read More »

Mbowe na Wenzake Kutoka Kizimbani Leo

Viongozi sita wa CHADEMA wanatarajiwa kuachiliwa kutoka kizimbani baada ya kulipa dhamana, siku ya Alhamisi. Viongozi hao wa chama cha CHADEMA, akiwemo mwenyekiti Freeman Mbowe, walishtakiwa kwa uchochezi ,kuleta vurugu na kuandamana mwezi wa Februari mwaka huu. Alhamisi iliopita, mahakama ya hakimu mkazi Kisutu iliwapatia dhamana viongozi hao sita lakini kusema kuwa watasalia rumande hadi leo tarehe 3 Aprili ambapo ...

Read More »

Pigo kwa CHADEMA, Kampeni Meneja wa Godbless Lema Ajiunga na CCM

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha kimepata pigo lingine baada ya Katibu Mwenezi wa CHADEMA ambaye pia alikuwa Meneja Kampeni wa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, Gabrieli Kivuyo (kushoto) amekihama chama hicho na kujiunga na CCM. Gabrieli Kivuyo amesema, amefikia uamuzi huo kutokana na utovu wa nidhamu uliopo ndani ya CHADEMA. Hii ni muendelezo wa Wanachama na ...

Read More »

Madereva wa Daladala Mwanza Wagoma Kutoa Huduma ya Usafiri

Mwanza Madereva wa Daladala wanaofanya safari zao Airpot Nyashishi na Kisesa Nyashishi wilayani Misungwi wamelazimika kugoma baada ya Sumatra kuongeza ruti bila kuongeza nauli. Madereva hao wamelalamikia kitendo hicho kwakuwa ruti iliyopangwa sumatra haijatoa bei elekezi nauli itakuwa sh Ngapi, kutokana na umbali. Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza Anthon Bahebe ameliomba Jeshi la Polisi kitengo cha ...

Read More »

AGPAHI YAKABIDHI MASHINE ZA KUCHUNGUZA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI,KOMPYUTA MKOA WA MWANZA

Shirika la Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI) limekabidhi mashine tano za kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake ‘cryotherapy machines’ mkoa wa Mwanza.    Msaada huo umetolewa Jumanne Machi 27,2018 katika ukumbi wa mikutano wa Gold Crest Hotel jijini Mwanza wakati wa kikao cha wadau wanaohusika katika mapambano ya VVU na Ukimwi mkoani Mwanza kwa ajili ya ...

Read More »

Nitawashangaa Wazungu watakaomsifu Magufuli

Kuna wakati Watanzania kadhaa walikuwa wakinung’unikia vyombo vya habari vya kimataifa kwa kuona Tanzania haitajwitajwi kwenye vyombo hivyo. Wapo walioona kutotajwa huko ni jambo baya, lakini wapo walioamini hiyo ni dalili njema. Walioamini hiyo ni dalili njema, waliamini hivyo kwa sababu wanaamini, na kwa kweli ndivyo ilivyo, kuwa ukitangazwa kwenye vyombo hivyo maana yake kuna mambo mabaya ambayo kwao ni ...

Read More »

Nyamo-Hanga ang’olewa REA

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, ameondolewa kwenye nafasi hiyo, JAMHURI limethibitishiwa. Desemba 17, 2016 Bodi ya Wakurugenzi ya REA ilimteua Mhandisi Nyamo-Hanga, kushika wadhifa huo. Pamoja naye, kumekuwapo mabadiliko ya baadhi ya wakurugenzi wa idara kadhaa REA; yote yakitajwa kuwa yamesababishwa na tuhuma za rushwa kwenye Awamu ya ...

Read More »

WAZIRI MKUU AWATAKA VIJANA WAFANYE KAZI KWA BIDII NA MAARIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wafanye kazi kwa bidii na maarifa kwa sababu kazi ndiyo msingi wa maendeleo yao na Taifa kwa ujumla.   Pia amewasihi wananchi wanaoishi katika maeneo ya mipakani wahakikishe suala la kulinda mipaka hiyo linapewa kipaumbele ili kuimarisha amani na utulivu nchini.   Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo (Jumamosi, Machi 24, 2018) wakati akizungumza ...

Read More »

AZANIA BANK YAWAKUTANISHA WAFANYABIASHARA DAR ES SALAAM

Maofisa wa Benki ya Azania wakiwa wamepozi kwa picha kabla ya kuanza kwa mkutano uliondaliwa na TCCIA kwa ajili ya wafanyabiashara kuchangamkia fursa zilizopo katika uwekezaji.  Mkutano huo ulidhaminiwa na benki hiyo.  Washiriki wa mkutano wakijadiliana jambo.  Wadu wa sekta ya biashara wakiwa katika mkutano huo.  Wadau.  Mkurugenzi Mkuu wa EAG Group Ltd, Imani Kajula (kushoto), akimkaribisha Ali Mfuluki katika ...

Read More »

MPANGO WA PAMOJA WA TANZANIA NA CHINA KATIKA KUONGEZA UZALISHAJI WA TIJA WA ZAO LA MAHINDI MKOANI MOROGORO WAZINDULIWA

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha China Profesa Sun Qixin, akimuonyesha Balozi wa China hapa nchini Wang Ke, moja ya picha katika Kituo cha Mafunzo cha kupunguza Umasikini kijijini, katika Kijiji cha Mtego wa Simba, Mikese mkoani Morogoro, wakati wa uzinduzi wa Mradi wa pamoja  wa Tanzania na China wa kuongeza kuzalishaji wa tija wa zao la mahindi, jana ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons