JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Monalisa aiomba Ofisi ya Msajili wa vyama kuchukua hatua kali kwa ACT Wazalendo

Monalisa Joseph Ndala, mwanachama wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, leo 03 Septemba 2025, amewasilisha malalamiko rasmi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nikiiomba ichukue hatua kali na za kinidhamu kwa haraka dhidi ya chama changu kutokana na mwenendo wake wa…

CUF kutokomeza umaskini ikiwezeshwa kuingia madarakani

Mgombea wa ubunge katika Jimbo la Morogoro Mjini kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Nyambi Athuman amesema kuwa vipaumbele vya ilani ya chama hicho ni kutokomeza umasikini kwa kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia vikundi vya uzalishaji mali kama SACCOS. Pia ni kuboresha…

Mbio za kukinadi Chama cha Mapinduzi Geita zaanza kwa kishindo

📌 Majimbo 7 kati ya 9 yapita bila kupingwa 📌 Kata 92 kati ya 122 zapita bila kupingwa 📌 Maelfu wakusanyika kusikiliza Ilani ya CCM 2025-2030 📌 Dkt. Biteko awasisitiza wananchi kujitokeza kwa wingi kumpigia kura Dkt. Samia Suluhu Hassan…

Mbeto atabiri anguko la Othman Uchaguzi wa Urais Z’bar

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi kumemtaja Mgombea Urais wa ACT Wazalendo , Othman Masoud Othman, atashindwa vibaya katika kinyang’anyiro cha Urais kutokana na uwezo wake kuwa mdogo mbele ya mgombea CCM Rais Dk Hussein Ali Mwinyi . Pia…