JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

NLD kuwatumia viongozi wa kiroho

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha National League for Democracy (NLD) kimesema serikali yake inawatumia viongozi wa kiroho ili kuhakikisha inakuwa na hofu ya Mungu. Kauli hiyo imetolewa na mgombea Urais wa chama hicho, Doyo Hassan Doyo,…

CUF yapania kuleta mabadiliko kwa Watanzania

Na Pendo Nguka, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mgombea Urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Samandito Gombo, amesema chama chake kimejipanga kikamilifu kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, mwaka huu kwa malengo ya kuleta mabadiliko ya kweli yanayogusa maisha ya kila…

Doyo: Ichagueni NLD, ilete mabadiliko Ruvuma, viwanda vilivyofungwa vitafunguliwa

Na Mwandishi Wetu, Ruvuma Msafara wa mgombea urais kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Mhe. Doyo Hassan Doyo, umewasili katika wilaya ya Tunduru, mkoa wa Ruvuma, ambapo umefanya mkutano mkubwa wa kampeni. Akihutubia wananchi wa Tunduru mjini katika…

Samia: CCM imetumia fedha za ndani kwenye uchaguzi mkuu 2025

Na Kulwa Karedia,Jamhuri Media- Manyara Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amehitimisha kampeni zake mkoani Manyara, ambapo amesisitiza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu unafanyika kwa fedha za ndani na siyo za wafadhili kutoka…

Mapokezi ya Othman Masoud Unguja na Pemba ishara ya Rais mpya ajae

Katika siku za hivi karibuni, Zanzibar imeshuhudia hamasa kubwa ya wananchi katika mikutano ya hadhara inayoongozwa na Othman Masoud. Kutoka mitaa ya Mjini Unguja hadi vijiji vya mbali kisiwani Pemba, maelfu ya wananchi wamejitokeza kwa wingi, wakijazana viwanjani kusikiliza ujumbe…