JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Bomu la Dangote

Wakati joto likizidi kupanda kuhusu hatma ya kiwanda cha saruji cha Dangote kilichoko Mkoani Mtwara, JAMHURI limebaini kuna mgogoro mkubwa wa uongozi ndani ya kiwanda hicho, lawama zikielekezwa kwa serikali. Mmoja wa maafisa wa kampuni ya Dangote, ambaye amezungumza na…

Watumishi Wizara ya Ardhi wapora ardhi

Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, wanatuhumiwa kutumia nyadhifa zao kupora shamba la hekari 74.2 mali ya Mwenegowa Mwichumu mkazi wa Kibada Kigamboni Dar es salaam. Kabla ya uporaji huo shamba hilo lililokuwa na…

Prof. Ndalichako amvaa Makonda

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameingia katika mapambano ya wazi na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako kwa kumpa maagizo, ambayo ameyakataa. Makonda amemwagiza Waziri Prof. Ndalichako asiwasikilize wazazi wa wanafunzi wanaosoma…

Unyayasaji kingono washika kasi Kilimanjaro

Matukio ya watoto  kunyanyaswa kingono katika mji wa Moshi, yameibuka kwa kasi ya kutisha  na kutishia usalama wa watoto, huku wengi wao wakiwa ni wanafunzi wa shule za msingi. Udhalilishaji huo unatokea huku wazazi wakitupiwa lawama kwa kushindwa kutoa ushirikiano…

Uchumi unakuwa kwa matabaka

Wakati Rais John Magufuli akieleza kuwa uchumi wa nchi umekuwa kwa asilimia 7.9 hadi kufikia robo ya mwaka huu na kuifanya Tanzania kushika nafasi ya pili baada ya Ivory Coast, Mchumi Mwandamizi na Mhadhiri wa Uchumi wa Chuo Kikuu cha…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 22

Barabara ya Bagamoyo balaa   UCHAMBUZI WA KINA  453. Barabara za New Bagamoyo na Pugu-Chanika-Mbagala ndizo ambazo zimethibitika kuhusisha sana matatizo makubwa ya ukikwaji wa taratibu na maadili mema ya kazi.   454. New Bagamoyo Road  (a)  Urefu: Kilometa 13.4…